Aina za CCTV camera
GORDON TECHNOLOGY INVESTMENT
Kuna aina mbili ambazo ni Analogy camera na IP camera.
Utofauti ni kua Analogy camera hazitumii internet-IP address lakini IP camera zinatumia Internet na IP address.
Analogy camera Zina gharama nafuu lakini IP camera zina gharama KUBWA.
Kampuni yetu ya GORDON TECHNOLOGY tunafunga CCTV camera aina zote kulingana na kipato cha mteja pia tunatoa ushauri bure.
Wasiliana nasi call/text 0746373222 pia Tupo Whatsapp kwa namba hizo.
Tunapatikana Facebook page jina ni Gordon technology na Instagram jina ni gordon_technology.

Comments
Post a Comment