SIFA ZA FUNDI CCTV CAMERA
Ubora wa fundi
Ili uwe fundi mzuri wa CCTV camera yakupasa uwe umeimarika ktk nyanja kuu mbili YANI ujuzi wa umeme na I.T(Information technology).
CCTV camera Kwa ujumla wake imebeba ujuzi wa umeme aina mbili YANI umeme wa Tanesco(A.c current) na Umeme wa D.c current.
Mambo ya msingi ya kujua ktk umeme ni namna umeme wa Tanesco(A.c voltage) unavobadilishwa na power supply na Kisha kua DC current ili umeme huo ukatumike ktk DVR/NVR,CCTV CAMERA,SWITCHES N.K
Mambo ya msingi ya kujua ktk I.T course ni Networking. Kumbuka camera za IP kwa kiasi kikubwa Zinatumia zaid IP ADDRESS na kwa ujumla elimu hii inapatikana ktk course ya Network Engineering.
Ukiweza kujua mambo hayo hapo juu basi utakua umeimarika zaidi na kuwa fundi mzuri wa CCTV camera.
Tupigie GORDON TECHNOLOGY kupata huduma za kufungiwa CCTV camera ktk duka,ofisi,NYUMBA,hoteli,kiwanda,mgodi na machimboni.
Call/Text/Whatsapp 0746373222.
Pia tunapatikana mitandaoni
Facebook page; Gordon technology
Instagram; gordon_technology
Tuna ofisi Mwanza na Dar es salaam lakini pia mikoani tuna mafundi wanaofanya kazi zetu kwa wakati mkoa wowote ulipo.

Comments
Post a Comment