ELIMU KUHUSU GPS TRACKER NA FAIDA☎️0746373222.
Technology ya Gps Track ktk pikipiki,Magari,Bajaji,Injini za Meli au boti NK.., 🌍SOMA HAPA Habari njema kwako wewe mmiliki wa chombo cha moto hii si ya kukosa, Je! unafanya kazi za usafirishaji? au umeajiri vijana waendeshe vyombo vyako vya moto kama vile gari 🚙, lori 🚛, na bodaboda 🏍 na bajaji na wanakuletea hesabu tofauti na matarajio yako? au wewe ni mmiliki wa magari ya biashara/mabasi/Kosta/Noah/Probox na unataka uwe unafatilia vizuri ufanyaji kazi wake. au wewe ni mtu binafsi unataka uweke ulinzii kwenye gari lako au pikipiki yako au Bajaji au jenereta lako kwa kuepuka uharifu na wizi ulio kithiri hivi SASA? Je! Unapenda kujua ni muda gani wa kufanyia (service) usafiri wako? Je! Unapenda kutunza usafiri wako? jibu ni moja 👉 GPS TRACKER itakufaa SANA. ITAKUPA uwezo wa mambo yafuatayo:✅✅ 1. Utaweza kufuatilia route na mizunguko yote ya chombo chako cha usafiri, utajua ni wapi kilikuwa na kimefanya kazi kwa muda g...
%20(1).jpeg)
Comments
Post a Comment