IJUE ELECTRIC FENCE-FENSI YA UMEME
IJUE ELECTRIC FENCE(FENSI YA UMEME)
ELECTRIC FENCE ni fensi ambayo umezungushiwa nyaya za umeme maalum zinazokuwa na Asili ya alminium materials au copper.
Nyaya hizo zinaweza kua zina mistari kuanzia minne Yan nyaya zilizopangwa ktk mistari adi nane. Nyaya hizi kwa KAWAIDA zinapata umeme Toka ktk mashine maalum ambayo hutoa umeme wake ktk mfumo maalum.
Mashine hyo ya kupeleka umeme ktk fensi hua ina betri ndani ambalo huchajiwa na umeme na hii hufanya kua hata umeme ukikatika usiku bado fensi ya umeme itabaki kuwa na shoti yake mpaka asubuhi na hivo kufanya usalama wa nyumba kubaki sawa hata km umeme wa Tanesco umekatika.
Mashine ya umeme huungwa na KING'ORA maalum ambapo kazi yake ni pale MWIZI akikata waya hata mmoja basi king'ora huanza kulia mpaka wahusika waamke kuzima...lakini pia MWIZI akigusa nyaya na kupigwa shoti basi king'ora hulia ili wahusika wapate taarifa kua nje kuna mhalifu Ambae amejaribu kuruka fensi lakini kapigwa na shoti tayari.
Mashine hizi za fensi ya umeme hupishana nguvu kulingana na ukubwa wa fensi husika mfano kama fensi ni kubwa hutumika wizard4 na fensi ikiwa ya kawaida hutumika wizard2.
Kwa mahitaji ya fensi za umeme zilizo Bora ktk nyumba,lodge,hoteli,mgodi,kiwandani NK... wasiliana nasi popote ULIPO tutakufikia na KUKUHUDUMIA.
Tupo Mwanza na Dar es salaam na mikoani tuna mafundi maalum wanaofanya kazi zetu km Tabora,Sumbawanga,Mpanda,Geita,Arusha,Mbeya NK....
Phone; 0746373222/0657396880
Whatsapp; 0746373222
Facebook page; Gordon technology
Instagram; gordon_technology
Twitter/x; Gordon technology
Email; thedon91harrison@gmail.com
Web; https://gordontechnologies.blogspot.com

Comments
Post a Comment