FUNDI WA CCTV CAMERA MWANZA
Call/text/Whatsapp 0746373222.
Tunapatikana Mwanza tunatoa huduma za kufunga CCTV camera sambamba na kuuza vifaa vya CCTV camera aina mbalimbali.
Tunatoa ushauri WA kitaalamu kwa wateja kabla ya kufunga CCTV camera na baada ya kufunga CCTV camera.
Pia tuna huduma nyingine km vile Ufungaji WA fensi za Umeme(Electric fence),Gps tracking,Fire alarm system,Video door bell,Access control&time attendance NK...
Pia tunapatikana mitandao ya kijamii.
Facebook page; Gordon technology
Instagram; gordon_technology

Comments
Post a Comment