FAIDA ZA CCTV CAMERA
Zifuatazo ni faida za KUFUNGA CCTV camera katika NYUMBA/biashara au popote.
1.KUONGEZA FAIDA KATIKA USIMAMIZI WA BIASHARA.
Unapokua umefunga CCTV utazuia WIZI katika biashara au Ofisi,Kuna wakati faida yako huibiwa na watu wako wa Karibu uliowaamini yaweza kua ni wafanyakazi wako au ndugu zako.
2.KUBORESHA ULINZI NA AMANI YA MOYO.
Unapofunga CCTV unapata amani ya moyo Kwa kua UNAWEZA kuona video za CCTV kupitia simu yako ya mkononi hata kama upo MBALI na eneo lako hata ukiwa safarini utaona yote yanayoendelea katika NYUMBA yako au biashara yako au Ofisi yako.
3.KUPUNGUZA GHARAMA ZA KUAJIRI WALINZI.
Unapokua na CCTV camera utaepuka gharama za KUAJIRI WALINZI ili kulinda Mali zako katika NYUMBA,biashara,kiwanda au MGODINI.
4.KUJENGA NIDHAMU YA BIASHARA AU KAZI.
Unapofunga camera unaongeza NIDHAMU ya kazi katika Ofisi au biashara hii ni Kwa sababu wafanyakazi
Kuna muda wanakua hawafanyi kazi kwa usahihi sababu hakuna anae waona lakini pia hata WATEJA hua na NIDHAMU wakifika MAHALI palipofungwa CCTV sababu wanajua wanaonekana Kila wanachofanya.
KWA UHITAJI WA KUFUNGIWA CCTV CAMERA TUPIGIE 0746373222.
Tunaitwa GORDON TECHNOLOGY tuna Ofisi Dar es salaam,Mwanza,Tabora na mikoani tuna mafundi wanaotuwakilisha na kufanya kazi zote.

Comments
Post a Comment