FUNDI WA FENSI ZA UMEME(ELECTRIC FENCE).
Electrical Fence
FUNDI WA FENSI ZA UMEME(ELECTRIC FENCE INSTALLER).
Kama una miliki Nyumba,hoteli,lodge,kiwanda au mgodi na unahitaji kampuni ya uhakika ya KUKUFUNGIA fensi yenye shoti ya umeme basi GORDON TECHNOLOGY INVESTMENT ndio jibu lako.
Tunatengeneza fensi hizo kwa gharama za kawaida kabisa yani efu20 adi efu22 kwa skwea mita Moja ya mraba.
Bei hupungua kulingana na ukubwa au udogo wa FENSI Kwa mfano;
Una fensi yenye urefu mita20 na upana mita 20. Unachotakiwa kufanya ni kuchukua 20+20=40 Kisha zidisha 40×2=80 Kisha zidisha 80×22,000=1,760,000
Hivyo gharama ya fensi YAKO itakua 1,760,000/=
Bei hubadilika kutokana na mabadiliko ya gharama ya dollars au kuadimika Kwa vifaa Fulani hii hupelekea gharama kua efu22 kwa mita1 ya fensi au efu20 kwa mita1 ya fensi.
Fensi zetu huunganishwa na earthing system ya fensi ya umeme inayojitegemea Hali ambayo hufanya mteja asitumie GHARAMA KUBWA katika kulipia umeme unaotumika ktk fensi yake.
Pia fensi zetu zimeungwa na KING'ORA ambacho hulia pindi tu mtu akipigwa na shoti na hii hupelekea wahusika kutambua kua nje ya fensi kuna mhalifu alijaribu kuruka ukuta kisha akanaswa na kutupwa chini na umeme.
Pia KING'ORA hiki hulia hata pindi waya mmoja ukikatika au ukikatwa lengo ni kukujulisha kua fensi YAKO ina tatizo Fulani inahitaji kukaguliwa
Tunapatikana Mwanza na Dar es salaam lakini pia mikoa yote TANZANIA tuna mafundi waliopo kwa ajili ya kufanya kazi zetu.
MIKOA km Tabora,Arusha,Mpanda,Geita,Kahama,Shinyanga,Sumbawanga NK....
TUPIGIE 0746373222/0657396880
Whatsapp; 0746373222.
Facebook page; Gordon Technology
Instagram; gordon_technology

Comments
Post a Comment